Laden...
In het kort
Samenvatting
Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye pia atavaa barakoa ya rangi nyingi ilioshonwa na mama yake, na anamwomba mama yake amfundishe jinsi ya kushona. Anataka kumshonea babu yake barakoa, na babu yake, akiwa amejazwa na furaha kwa sababu ya kitendo cha fadhili cha mjukuu wake, anamkumbatia alipotoka kazini hospitalini.
In het kort
Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. M...
Specificaties
Auteur
Deana Sobel Lederman
Uitgever
Van Ditmar Boekenimport B.V.
Taal
Swa
Aantal pagina's
26
Formaat
Paperback
Publicatiedatum
24 oktober 2020
ISBN
9781636070230
Wij helpen je graag!
Kom je er niet direct uit? Wij helpen je graag met al jouw vragen.
Misschien vind je deze boeken ook leuk...
Leuk om te lezen naast "Somo la Kushona"